Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini TORITA, TARURA, CMA, AICC, TALIRI, TRC, MUCE, TCRA, TEMESA, TMA Desemba 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 21-04-2024 na tarehe...
Kama wewe ni miongoni mwa wasailiwa wa kada ya Mechanical Artisans II (Shirika la Reli Tanzania - TRC), tunayo habari muhimu kuhusu mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa mahojiano.
Mabadiliko ya Mahali:
Usaili wa mahojiano sasa utafanyika katika Ofisi za Shirika la Reli Tanzania (TRC)...