Wananchi, Hili hapa Tangazo la Ufadhili wa Masomo kwa Wanafunzi wa Afrika Mashariki: Kusoma Master of Business Research na Master of Science in Sustainable Management and Operations katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 2024/2025.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Kuehne...
Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo UDSM, TMA December 2024 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa...
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi wa Kuandika UDSM, NIT, TMA, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 7 Desemba 2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kuendelea na usaili na waliofaulu yapo chini hapa.
Angalizo: Wasailiwa wote waliochaguliwa...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute - WI anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba...
Pole na majukumu. Changamoto yangu kuu ni hii bachelor degree of science in agricultural natural resources economics and business inayotolewa chuo kikuu cha Dar es salaam kutokupewa nafasi sawa katika nafasi kadha wa kadha, mfano mchumi zinazokuwa zinatangazwa kupitia ajira portal.
Mfano mzuri...
Nafasi za Ufadhili wa Masomo UDSM | Programu ya Fondazione Edu 2024
Tunafurahi kutangaza Programu ya Scholarships ya Fondazione Edu 2024, inayolenga kusaidia wanafunzi wanaostahili na bora wanaoendelea na masomo ya shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Programu hii inatoa fursa...