Mwongozo wa kutuma maombi Ajira za Uhamiaji 2024/2025 | Mfumo wa Ajira Immigration. Mwombaji anatakiwa kuambatisha nyaraka kwenye mfumo wa Ajira kwa kutumia format ya PDF na picha ya mwombaji (passport size) katika format ya jpg/png. Kila nyaraka moja isizidi ukubwa wa 300Kb.
Orodha ya Nyaraka...
ajira za uhamiaji
ajira za uhamiaji 2024
jinsi ya kutuma maombi ajira za uhamiaji 2024
mwongozo wa kutuma maombi ajira za uhamiaji 2024
nafasi za ajira za uhamiaji 2024
nafasi za uhamiaji 2024
uhamiaji
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – IDARA YA UHAMIAJI
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kanuni Na. 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania katika Idara ya Uhamiaji. Nafasi hizi ni za Askari wa Uhamiaji...