Mwongozo wa kutuma maombi Ajira za Uhamiaji 2024/2025 | Mfumo wa Ajira Immigration

Mwongozo wa kutuma maombi Ajira za Uhamiaji 2024/2025 | Mfumo wa Ajira Immigration

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,180
Mwongozo wa kutuma maombi Ajira za Uhamiaji 2024/2025 | Mfumo wa Ajira Immigration. Mwombaji anatakiwa kuambatisha nyaraka kwenye mfumo wa Ajira kwa kutumia format ya PDF na picha ya mwombaji (passport size) katika format ya jpg/png. Kila nyaraka moja isizidi ukubwa wa 300Kb.

Orodha ya Nyaraka Zinazohitajika:
  1. Nakala ya Cheti cha Kuzaliwa.
  2. Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) kwa ajili ya kujisajili kwenye mfumo.
  3. Barua ya maombi ya ajira iliyoandikwa kwa mkono.
  4. Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji au Shehia; kwa walio Makambini JKT/JKU, wawe na barua za Utambulisho kutoka kwa Mkuu wa Kambi.
  5. Picha (passport size) ya hivi karibuni iliyo katika format ya jpg/png na isiyozidi 300Kb.
  6. Namba (index no) ya cheti cha Kidato cha Nne na Sita kwa waliohitimu kidato hicho, ambapo namba hizo zitajazwa kwenye mfumo wa ajira.
  7. Nakala ya vyeti vya kuhitimu fani mbalimbali ngazi ya Astashahada, Stashahada, na Shahada/Stashahada ya Juu (ikiwa inapatikana na viwe vimehakikiwa katika vyuo husika).
  8. Nakala ya cheti cha kuhitimu JKT/JKU (kwa walionavyo).
  9. Vyeti vya usajili wa taaluma kwa fani zinazohitaji usajili wa Bodi.
  10. Wasifu wa Mwombaji (CV).
Kutuma maombi uhamiaji 2024

Kujisajili ajira za uhamiaji 2024

Soma zaidi:
 

Attachments

  • Jinsi ya kutuma maombi Ajira za Uhamiaji 2024.webp
    Jinsi ya kutuma maombi Ajira za Uhamiaji 2024.webp
    73.5 KB · Views: 326
Back
Top Bottom