usaili ajira portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal

    Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal

    Hivi hapa Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal katika saili mbalimbali zinazofanyishwa na Sekreatrieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kada zote.
  2. G

    PDF SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL

    MLIOWAI KUFANYA SAILI KATIKA SHULE ZA PRIVATE AU SERIKALI WEKA HAPA SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU (USAILI WA WALIMU) NA TIPS ZA KUFANYA AJIRA PORTAL. Mimi nimepata hayo Pitia kwa makini slides za CT na EP hususani maeneo kama vile; 1. Bloom Taxonomy 2. Professionalism of Education...
  3. G

    PDF Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu Ajira Portal yapoje? 2025

    Haya hapa Maswali ya interview ya ualimu (Usaili Wa Walimu) Ajira Portal katika nafasi za kazi mblimbali zilizo tangazwa na Utumishi Sekretarieti ya Ajira. Pitia haya maswali kwa umakini ujiweke katika njia sahihi. Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu 1. Eleza maana ya “ELIMU”. 2...
  4. G

    PDF MASWALI YA USAILI KADA YA UALIMU INTERVIEW ZA AJIRA PORTAL USAILI WA WALIMU (LITERATURE) 3-1

    HAYA HAPO JUU MASWALI YA USAILI KADA YA UALIMU INTERVIEW ZA AJIRA PORTAL USAILI WA WALIMU (LITERATURE) Ni kitabu lakini ukiyapitia kwa umakini kwa kuzingatia lazima utapata kitu, hivyo kama kuna mtu ana maswali Join kwenye discussion hapo chini kisha andika au upload tafadhali. Maswali ya...
  5. G

    Ajira MASWALI YA USAILI KADA YA UALIMU INTERVIEW ZA AJIRA PORTAL USAILI WA WALIMU (JIOGRAFIA) 3-1

    HAYA HAPO JUU MASWALI YA USAILI KADA YA UALIMU INTERVIEW ZA AJIRA PORTAL USAILI WA WALIMU (JIOGRAFIA) Ni kitabu hivyo kama kuna mtu ana maswali Join kwenye discussion hapo chini kisha andika au upload tafadhali.
  6. Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024

    Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024

    Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 9 Desemba 2024, orodha kamili ya majina yapo chini hapa. Pia unaweza kuona katika akaunti yako ya Ajira portal. Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT ARTISAN...
  7. Walioitwa kwenye Usaili Utumishi NIT, UDSM, MNMA, ATC, WI | Majina ya Nyongeza 2024

    Walioitwa kwenye Usaili Utumishi NIT, UDSM, MNMA, ATC, WI | Majina ya Nyongeza 2024

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute - WI anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba...
  8. Matokeo ya Usaili wa kuandika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) December 2024

    Matokeo ya Usaili wa kuandika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) December 2024

    HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA VITENDO CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI NA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024 KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KUPITIA UTUMISHI WA UMMA. Mwongozo: Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa...
  9. G

    PDF Matokeo ya Usaili Ajira Portal, Utumishi wa Umma, Serikalini | Taasisi Mbalimbali 20241109

    Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal, Utumishi wa Umma, Serikalini | Taasisi Mbalimbali TRC, GPSA, TAFIRI, TGDC,TBC yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 09/11/2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kufanya usaili wa kuandika yapo chini. Matokeo ya usaili...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom