Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 9 Desemba 2024, orodha kamili ya majina yapo chini hapa. Pia unaweza kuona katika akaunti yako ya Ajira portal.
Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT
ARTISAN...
Wasailiwa wa nafasi mbalimbali katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) mnajulishwa kuwa, usaili wa vitendo na mahojiano wa tarehe 5 na 6 Disemba, 2024 utafanyika katika ukumbi wa MOI Phase III uliopo jengo jipya la MOI. Aidha, muda wa kufanya usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la kuitwa...