Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM) ni taasisi ya elimu ya juu inayomilikiwa na Muslim Development Foundation (MDF). Chuo hiki kina maono ya kuwa kitovu cha ubora kwa kutoa programu za kisasa zinazokidhi mahitaji ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla katika dunia ya kisasa, huku kikiongozwa na...
Hizi hapa Nafasi za kazi Mwananchi Communication LTD Desemba 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa kuanzia siku ya leo waweze kutuma maombi.