Ligi za Mabingwa za Mabara yetu duniani ,zilianza miaka ya 1950 kwa kule Ulaya na Afrika zilianza miaka ya 1960,
Hakukuwa na Makombe mengine ya Mpata Mpatae.
Rais wa UEFA wa miaka ile ,akaja na ubunifu wa kuanzisha Mashindano mengine yakiwemo ya Cup Winners Cup na Uefa Cup ,ili kuiwezesha Club...
Kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema hadi sasa hesabu za timu hiyo kutinga Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika zipo sawa baada ya kuifumua TP Mazembe kwa mabao 3-1 na kudai kipigo hicho ni kidogo kuliko nafasi walizotengeneza.
Ramovic, aliyepata ushindi wa kwanza CAF akiwa kocha wa...
Klabu ya Al Hilal kutoka Sudan 🇸🇩 inakuwa timu ya kwanza msimu huu kwenye CAFCL kufuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo .
Kwenye michezo minne amekusanya Alama 10 .
Kwasasa ni Yanga wenyewe washinde game zao bila kuangalia matokeo ya MC Alger ….. hii ni baada ya sare ya 1-1 dhidi ya...
Baada ya ushindi wa jana wa Yanga dhidi ya Tp Mazembe nafikiri maombi yao yawe kwenye mechi ya leo ya Hilal dhidi ya Mc Alger.
Kama Hilal atashinda leo ni wazi Yanga atakwenda robo fainali...
Kwanini?
Mechi itakayofuata ya Yanga itakuwa ugenini dhidi ya Hilal ambayo itakuwa imefuzu tayari kwa...