Yani kila ukimuangalia Mudathir Yahya unapata picha ya namna Kiungo Chuma anatakiwa kuwa, nazani ndio kiungo bora zaidi wa kati anaweza kuzuia njia za mipira ‘Ball paths’ kwa usahihi sana kutoka kwa mpinzani / actions.
Ongeza hapo always available uwanjani dah💪🏿 hata Kocha Sead Ramovic anaona...
Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa Winga Jonathan IkangaLombo 🇨🇩 akitokea AS Vita Club katika dirisha hili dogo la uhamisho
Jonathan IkangaLombo amesaini mkataba wa miaka miwili hii leo na muda wowote kuanzia hivi sasa atapewa vifaa vya mazoezi katika klabu hiyo.
Ikangalombo...
Kwenye michuano ya CAF Interclub hatua ya makundi Yanga wanaburuza mkia wakiwa na alama moja tu kwenye msimamo wa kundi A huku kinara Al Hilal akiwa na alama zake 9.
Wana nafasi ya kuongoza kundi...?
Hapa kimahesabu uwezo wa kuongoza Kundi kwa Yanga haupo tena
Kivipi...?
Yanga wamebaki na...