Uongozi wa Young Africans Sports Club (Yanga) umetangaza rasmi kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya kwanza, Angel Miguel Gamondi, pamoja na Kocha Msaidizi, Moussa Ndaw. Taarifa hii imetolewa leo, tarehe 14 Novemba 2024.
Kupitia taarifa yao, Yanga imewashukuru makocha hao kwa mchango wao...
Yanga imeonyesha kuwa haina mchezo inapokuja suala la mafanikio, kwani klabu hiyo imefanya maamuzi makubwa ya kumtenga aliyekuwa kocha wao, Miguel Gamondi, na kuanza rasmi mchakato wa kumnasa kocha wa Algeria, Kheireddine Madoui, anayefanya kazi na CS Constantine. Madoui anajulikana kwa...
Christina Mwagala, Afisa Habari wa klabu ya Tabora United, ameonesha msimamo mkali dhidi ya Yanga SC baada ya mechi iliyochezwa jana. Katika mazungumzo yake na wanahabari, Christina alionyesha kutokujali kuhusu malalamiko ya Yanga SC akisema kuwa, kama wanaona hawakuridhishwa na matokeo, wana...