young african transfer

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Mudathir Yahya Ni Mali Pale Yanga SC

    Mudathir Yahya Ni Mali Pale Yanga SC

    Yani kila ukimuangalia Mudathir Yahya unapata picha ya namna Kiungo Chuma anatakiwa kuwa, nazani ndio kiungo bora zaidi wa kati anaweza kuzuia njia za mipira ‘Ball paths’ kwa usahihi sana kutoka kwa mpinzani / actions. Ongeza hapo always available uwanjani dah💪🏿 hata Kocha Sead Ramovic anaona...
  2. Wydad Casablanca Bado Wanahitaji Huduma Ya Mzinze Clement Wa Yanga

    Wydad Casablanca Bado Wanahitaji Huduma Ya Mzinze Clement Wa Yanga

    Klabu ya Wydad Casablanca imetenga kiasi cha fedha 831,082 US Dollar sawa na kiasi cha Billioni mbili za kitanzania kwaajili ya kunasa saini ya mchezaji Clement Mzize ifikapo dirisha kubwa la usajili. Hapo awali klabu ya Wydad Casablanca ilihitaji sana huduma ya nyota huyo anaeichezea klabu ya...
  3. Al Hilal Wafusu Hatua Ya Robo Fainali TotalEnergiesCAFCL 2024/2025

    Al Hilal Wafusu Hatua Ya Robo Fainali TotalEnergiesCAFCL 2024/2025

    Klabu ya Al Hilal kutoka Sudan 🇸🇩 inakuwa timu ya kwanza msimu huu kwenye CAFCL kufuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo . Kwenye michezo minne amekusanya Alama 10 . Kwasasa ni Yanga wenyewe washinde game zao bila kuangalia matokeo ya MC Alger ….. hii ni baada ya sare ya 1-1 dhidi ya...
  4. Tetesi za Usajiri Dirisha Dogo December 2024, Ligi Kuu Tanzania.

    Tetesi za Usajiri Dirisha Dogo December 2024, Ligi Kuu Tanzania.

    Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba inafuatilia kwa karibu kiwango cha Allan Okello (24) mchezaji wa Klabu Vipers inayoshiriki Ligi kuu Nchini Uganda. Okello, ni miongoni mwa vijana waliojaliwa kipaji kwani huwa anaitwa na kianza kwenye kikosi cha kwanza cha Uganda Cranes licha ya Timu hiyo kuwa...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom