Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa Winga Jonathan IkangaLombo 🇨🇩 akitokea AS Vita Club katika dirisha hili dogo la uhamisho
Jonathan IkangaLombo amesaini mkataba wa miaka miwili hii leo na muda wowote kuanzia hivi sasa atapewa vifaa vya mazoezi katika klabu hiyo.
Ikangalombo...
Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano ya kumsajili winga Jonathan Ikangalombo kutoka As Vita Club ya DR Congo. Jonathan mwenye umri wa miaka 22 tayari yupo jijini Dar kukamilisha usajili huo.