Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imetangaza vijana 5,746 kujiunga na mafunzo ya uanagenzi ambayo yatawawezesha kupata ujuzi wa vitendo utakao wasaidia kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kwa kujiajiri na kuajiri wenzao.
Bonyeza hapa kusoma.
www.kazi.go.tz
Bonyeza hapa kusoma.
Prime Minister's Office Labour, Employment and Relations | Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano