5,746 wachaguliwa kujiunga na mafunzo ya uanagenzi

5,746 wachaguliwa kujiunga na mafunzo ya uanagenzi Kazi

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imetangaza vijana 5,746 kujiunga na mafunzo ya uanagenzi ambayo yatawawezesha kupata ujuzi wa vitendo utakao wasaidia kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kwa kujiajiri na kuajiri wenzao.

Bonyeza hapa kusoma.
5,746 wachaguliwa kujiunga na mafunzo ya uanagenzi
 
Back
Top Bottom