A Amina Danda New member Reputation: 1% Joined Dec 28, 2025 Messages 2 Mar 23, 2026 #1 Habari,naomba muongozo wa group la Afisa mlezi msaidizi Najaribu ku apply kazi kwenye account yangu ya ajira portal ila inakataa Hello jmn naomba msaada wa maswali ya written na oral ya account officer 2 (Afisa hesabu daraja la 2) please interview tarehe 26 ijumaa
Habari,naomba muongozo wa group la Afisa mlezi msaidizi Najaribu ku apply kazi kwenye account yangu ya ajira portal ila inakataa Hello jmn naomba msaada wa maswali ya written na oral ya account officer 2 (Afisa hesabu daraja la 2) please interview tarehe 26 ijumaa
S Sia Moderator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 20, 2024 Messages 1,607 Mar 24, 2026 #2 Kwa sasa hatuna group hilo @Amina Danda Upvote 0 Downvote