A Amina Danda New member Reputation: 1% Joined Dec 28, 2025 Messages 2 Mar 23, 2026 #1 Habari naomba muongozo wa group la Afisa mlezi msaidizi II S Hello jmn naomba msaada wa maswali ya written na oral ya account officer 2 (Afisa hesabu daraja la 2) please interview tarehe 26 ijumaa Nilifuta CV yangu ya zamani na nimei update mpya Ina inagoma ajira portal
Habari naomba muongozo wa group la Afisa mlezi msaidizi II S Hello jmn naomba msaada wa maswali ya written na oral ya account officer 2 (Afisa hesabu daraja la 2) please interview tarehe 26 ijumaa Nilifuta CV yangu ya zamani na nimei update mpya Ina inagoma ajira portal
S Sia Moderator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 20, 2024 Messages 1,477 Mar 23, 2026 #2 Habari, kwa sasa hatuna group hilo @Amina Danda Upvote 0 Downvote