AJIRA 12,000 ZA KADA YA UALIMU NA AFYA KUTEKELEZWA KWA WAKATI

AJIRA 12,000 ZA KADA YA UALIMU NA AFYA KUTEKELEZWA KWA WAKATI AJIRA PORTAL

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ameitaka Menejimenti ya Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuharakisha na kuweka wazi mchakato wa ajira 12,000 zilizotangazwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akifungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 14 Novemba, 2025 jijini Dodoma.

Soma zaidi hapa
AJIRA 12,000 ZA KADA YA UALIMU NA AFYA KUTEKELEZWA KWA WAKATI
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom