Ajira:: Mfumo wa Maombi ya Ajira TAKUKURU PCCB Aprili 2026

Ajira:: Mfumo wa Maombi ya Ajira TAKUKURU PCCB Aprili 2026 Takukuru Portal 2026

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Huu hapa Mfumo wa Maombi ya Ajira PCCB Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo chini.

Maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa kielekitroniki wa ajira wa TAKUKURU ambao anuani yake ni: ajira.pccb.go.tz na si vinginevyo. Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya posta au kwa mkono hayatapokelewa.

Ingia kwenye mfumo wa Takukuru au PCCB portal hapa
Ajira:: Mfumo wa Maombi ya Ajira TAKUKURU PCCB Aprili 2026
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom