Ajira Mpya 33,212 Utumishi 10000 Walimu. Rais Samia Suluhu Hassan jana ametoa kibali cha ajira kwa nafasi 33,212 za mwaka wa fedha unaoisha 2024/25 huku kada ya walimu ikipangiwa kupata nafasi 10,000 ambazo hazitafanyiwa usaili watachukuliwa kwenye database.
Akihitimisha leo jioni hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Mwaka 2025/26 bungeni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema “Katika kada ya walimu tutakwenda kwenye kanzidata tuendelee kupakua waliosalia ili kuhakikisha tunawamaliza, sio rahisi kuwamaliza maana waliofaulu wanaosubiri kupangiwa bado ni wengi.”
Sikiliza video nzima hapa ya hotuba hapa.

Last edited: