Al Hilal Wafusu Hatua Ya Robo Fainali TotalEnergiesCAFCL 2024/2025

Al Hilal Wafusu Hatua Ya Robo Fainali TotalEnergiesCAFCL 2024/2025

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
160
Klabu ya Al Hilal kutoka Sudan 🇸🇩 inakuwa timu ya kwanza msimu huu kwenye CAFCL kufuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo .

Kwenye michezo minne amekusanya Alama 10 .
FB_IMG_1736134554168.webp


Kwasasa ni Yanga wenyewe washinde game zao bila kuangalia matokeo ya MC Alger ….. hii ni baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Hilal maana yake linatengenezeka gap ya Alama 1 Kati ya Yanga na Alger mwenye Alama 5.

Kama Hilal angepoteza basi kazi kubwa wangekuwa nayo Yanga: Yaani ushinde then umuombee mwenzako apoteze game yake . But Kwasasa ni rahisi kwasababu unahitaji ushindi kwako na sio kudeal na game za mwingine.

Al Hilal ana Alama 10 then Mc Alger anafuatia akiwa na 5 tofauti ya Alama moja na Yanga …. Tp Mazembe akiwa na Alama 2 Hali yake ni ngumu kidogo kwasababu anahitaji maombi mengi sana then ashinde na game zake zote mbili.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom