New member
- Joined
- Mar 26, 2026
- Messages
- 1
Kaka habari ya kazi samahani mimi nilikuwa nashida moja, nimeitwa kwenye interview ya warehouse director kampuni ya backbone nimejaribu kuifuatilia hiyo kampuni ipo misugusugu huko sasa details za mshahara na mazingira ya kazi sijafanikiwa kupata, je unaweza kunisaidia kujua hilo mkuu hata kwa kushare kwa wadau mbalimbali