Beki Simba sports club Afunga Ndoa

Beki Simba sports club Afunga Ndoa

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Beki wa Klabu ya Simba sports club, Valentine Nouma hapo juzi aliaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu akiwa kwao Nchini Burkina Faso.
FB_IMG_1735475282600.webp

Nouma alipata nafasi ya kusafiri kutoka Tanzania mpaka nchini Kwa Bukina Faso huku akiwa amepata baraka zote kutoka Kwa coach wake Fadlu Devi's huku akiwaacha wachezaji wenzake wa Simba sports club wakijiandaa na safari ya kwenda Singida kucheza na Singida black star, Mchezo uliopigwa hapo Jana majira ya saa kumi na Simbasc kuibuka mshinda Kwa bao 1 Kwa 0 na kufanya timu hiyo ikamilishe Ratiba ya mzunguko wa kwanza ikiwa pale kileleni na alama zao 40.

Nouma anatarajiwa kuwasili nchini Jumanne ya Tarehe 31 December Mwaka huu 2024 Tayari Kwa maandalizi ya kusafiri kuelekea Nchini Tunisia kucheza Mchezo Wao wa round ya Nne kunako michuano ya shirikisho Africa Dhidi ya Cs Sfaxien.
 
Back
Top Bottom