Chuo cha Triple J Institute of Social Studies

Chuo cha Triple J Institute of Social Studies Ada, Sifa, Vigezo

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Triple J Institute of Social Studies ni chuo binafsi kilichopo Arusha, Tanzania. Kilianzishwa tarehe 20 Oktoba 2017 na kupata usajili kamili kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) tarehe 20 Oktoba 2020.
Chuo cha Triple J Institute of Social Studies

Chuo hiki kinatoa programu za Maendeleo ya Jamii katika ngazi za Cheti (NTA Level 4) na Diploma (NTA Level 5 na 6).

Mawasiliano:
  • Anwani: P.O. Box 16228, Arusha, Tanzania
  • Simu: +255 755 476 03
  • Barua pepe: [email protected]
Kwa sasa, chuo kina usajili kamili lakini bado hakijapata ithibati. NACTVET Wanafunzi wanaopenda kujiunga wanashauriwa kuwasiliana moja kwa moja na chuo kwa taarifa za hivi punde kuhusu hali ya ithibati, vigezo vya kujiunga, na kozi zinazotolewa.
 
Back
Top Bottom