- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Kwenye Kundi hili kila timu 3 za juu zote zinamtazama Cs Sfaxien kama ngazi...atakaedondosha alama kwa Sfaxien anaweza kubaki.
Simba amefanikiwa kuchukua alama zote 6 kwa Sfaxien, Constantine alishachukua 3 ugenini na Bravos alichukua 3 nyumbani.
Kwa nature ya kundi hili sitoshangaa Simba akipoteza game yake ya jumapili (January 12) dhidi ya Bravos kwakua kila timu inashinda kwake na inafikiria kuchukua alama zote kwa Sfaxien.
Hapa Simba anahitaji sare au ushindi ugenini dhidi ya Bravos na kwa style of play wanayocheza Bravos sitoshangaa pia wakipoteza dhidi ya Simba.
Kwanini...?
Licha ya kushinda mechi mbili nyumbani dhidi ya Cs Constantine na Cs Sfaxien bado waliruhusu kufikiwa sana...Mechi zote walishinda 3-2 (hawana clean sheet mechi zote 4)
Wakati Simba anapata bao 1 ugenini dhidi ya Constantine kwenye kipigo cha mabao 2-1 wao (Bravos) wamekula chuma 4-0.
Simba akichanga karata zake vizuri atafuzu akiwa ugenini...