A

Dondoo za Uzazi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

AnethCharlz

New member

Joined
Oct 27, 2024
Messages
1
Karibu katika jukwaa huru la wananchi,Leo tupate kidogo mwangaza juu ya Uzazi kwa njia ya upasuaji

Uzazi kwa njia upasuaji (operation) miaka hii umekuwa kwa Kasi sana yaani katika wazazi kumi unaweza kukuta nane ama Saba wamezaa kwa upasuaji
Mdau unadhani Nini ni sababu haswa inayopelekea uzazi wa njia hii?
Madhara yake kiafya yapoje?
Na Nini kifanyike kuzuia ama kupunguza kwa ASILIMIA kubwa uzazi wa njia hii?
 
Back
Top Bottom