A

Email ya barua kutoka TRA

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Je unaweza ona jina kwenye list ya waliochaguliwa na bado ukawa hujapokea email ya barua ya namba ya mtihan??
Ndio.
Email zitaanza kutumwa kuanzia siku ya leo mpaka siku ya alhamisi, kumbuka kuna wenzetu ambao hawajachaguliwa wamepewa siku mbili za kukata rufaa. Hivyo endelea kujiandaa huku ukisubiria email ya usaili.
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom