L

Email ya TRA lakin jina limetoka

NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Yani hujapokea email ya TRA lakin jinaa limetokaa?
Email zitaanza kutumwa kuanzia siku ya leo mpaka siku ya alhamisi, kumbuka kuna wenzetu ambao hawajachaguliwa wamepewa siku mbili za kukata rufaa. Hivyo endelea kujiandaa huku ukisubiria email ya usaili.
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom