- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 180
Shirikisho la mpira wa miguu nchini Nigeria NFF limetangaza bwana Eric Sekuo Chelle kuwa kocha wa timu ya taifa hilo.
Kabla ya kuchaguliwa kuwa kocha wa taifa hilo aliwahi kuifundisha timu ya taifa la mali kuanzia mwaka 2022 Hadi 2024.
Kabla ya kuchaguliwa kuwa kocha wa taifa hilo aliwahi kuifundisha timu ya taifa la mali kuanzia mwaka 2022 Hadi 2024.