EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta Kwa Mwezi Novemba 2024

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta Kwa Mwezi Novemba 2024 PPR/2024 - 11/01

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Gift submitted a new resource:

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta Kwa Mwezi Novemba 2024 - EWURA imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Novemba 2024, zitakazotumika kuanzia tarehe 6

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Novemba 2024, zitakazotumika kuanzia tarehe 6 Novemba saa 6:01 usiku. Bei za mafuta ya petroli, dizeli, na mafuta ya taa zimepanda kutokana na mabadiliko ya bei za soko la kimataifa. Wafanyabiashara wanatakiwa kuuza kwa bei zilizowekwa na EWURA ili kuepuka hatua za kisheria.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)
imetangaza bei kikomo mpya za bidhaa za mafuta nchini...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom