SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi (Combination) au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye. Utaratibu huo umeanza Machi 31 hadi Aprili 30 mwaka huu. Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi BONYEZA HAPA KUBADILI
Last edited: