Hesabu Za Yanga Sc Kufuzu Hatua Ya Robo Fainali Ni Rahisi Kabisa TotalEnergies CAFCL

Hesabu Za Yanga Sc Kufuzu Hatua Ya Robo Fainali Ni Rahisi Kabisa TotalEnergies CAFCL 2024/2025

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
192
Kukusanya pointi 6 katika mechi mbili zilizobaki bila kuangalia matokeo ya kupande mwingi, hapo watakuwa wametinga robo fainali.
FB_IMG_1736489361627.webp

Kinachohitajika kwa Yanga SC ni kupambana zaidi uwanjani ili kuzipata na inawezekana ikiwa Al Hilal Omdurman walipambana na kupata alama 3 kwa Mkapa na possible Yanga SC wakipambana wanaweza kuzipata alama 3 muhimu

Mechi dhidi ya Al Hilal Omdurman ndio plus pointi ya hesabu zote za Yanga za kutinga robo fainali , ikiwa atapoteza maana yake atakuwa matatizoni au kuaga michuano ya CAFCL lakini akishinda hii mechi hata kwa bao mechi silazima iwe kwa mabao mengi atakuwa sehemu nzuri ya kwenda robo fainali

Harafu atarudi hapa mechi ya mwisho dhidi ya MC Alger, hii mechi Yanga atakuwa na uwezo wa kuicontrol zaidi na kujua nini kinachohitajika kwa lugha nyepesi nafasi ya kufuzu itakuwa sebuleni kwake, pia mpinzani anaweza kuwa hatari lakini sio guarantee, Yanga SC inatakiwa kupambana kuzipata alama 6 uwanjani then hapo watatinga robo fainali bila kuangalia matokeo ya sehemu nyingine na inawezekana.
 
Back
Top Bottom