HESLB Kuongeza idadi wa Wanufaika Mkopo Elimu ya Juu

HESLB Kuongeza idadi wa Wanufaika Mkopo Elimu ya Juu 2025/2026 OLAMS-HESL

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,455
HESLB Kuongeza Idadi ya Wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu Mwaka 2025/2026

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza kuwa kwa mwaka wa masomo 2025/2026, serikali itaongeza idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mikopo ya elimu ya juu kutoka wanafunzi 245,314 mwaka 2024/2025 hadi kufikia 252,773.

Hatua hii ni sehemu ya juhudi za serikali za kuhakikisha fursa zaidi za elimu ya juu zinapatikana kwa Watanzania wengi zaidi, hasa wale wenye uhitaji mkubwa wa kifedha.

Hii ni habari njema kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na wale wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu nchini.
HESLB Kuongeza idadi wa Wanufaika Mkopo Elimu ya Juu
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom