T

Huduma ya Ajira portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hello mwananchi,
Kwa anayehitaji huduma ya ajira Portal na mifumo mingine ya ajira na maombi mengine. Mambo kama kusahau password na kushindwa kuirekebisha, kuomba ajira na nafasi za masomo yanashughulikiwa.
wasiliana
na 0623446608
Hello!, kwema naomba msaada kuna mtu aliomba nafasi za kazi kupitia email angu na hakuweza ku complete tkt kujaza taarifa zake so nimejaribu kuzifta hizo taarifa zinatoka lakini bado lile jina lake bado linasoma pale kwenye Dashboard nifanye je ilo niweze kuremove out taarifa zake ili niwe huru kwenye accpunt angu maana napotaka ku apply kazi inanirudisha pale kwenye kumalizia kujaza taarifa zake it.means npo bado kwenye profile ake🤔
 
Ni kweli unatoa hii huduma?
 
Uwasiliane namba tajwa
 
Mimi niliweka details za muhim kwenye ku registar, lakin nikiingia kweny ku log in inanambia account is inactive na kwenye email yangu hawakunitumia chochot
kama inasema account inactive, nenda kwenye email yako kisha kuna ujumbe umetumiwa kwenye email confirm huo ujumbe kwa kubonyeza confirm.
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom