Waombaji kazi wote mliotuma maombi ya kazi za MDA’s & LGA’s na Taasisi nyingine. Mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa ili upangiwe kituo cha usaili karibu na eneo lako. Ili kuhuisha taarifa zako - nenda kwenye eneo la PERSONAL DETAILS, kisha rekebisha eneo la CURRENT RESIDENCE kwa kuandika Mkoa na Wilaya uliyopo kwa sasa.