Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili utakaofanyika kwa njia ya mtandao (ONLINE) tarehe 28 - 29 Julai 2025, mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa ili upangiwe kituo cha usaili karibu na eneo lako.