Z Zaymsuya New member Joined May 6, 2025 Messages 1 May 10, 2025 #1 Nina swali apa; kwa wale ambao walishafanya interview oral za account huwa wana uliza maswali yapi? au kama kuna mtu Ana baadh I ya maswali ambayo hapo kabla maana mimi ndio mara yangu ya kwaza ivi 🌹 Msaada Ajira ambazo wamesema watatoa J Maswali ya oral interview agricultural engineer II
Nina swali apa; kwa wale ambao walishafanya interview oral za account huwa wana uliza maswali yapi? au kama kuna mtu Ana baadh I ya maswali ambayo hapo kabla maana mimi ndio mara yangu ya kwaza ivi 🌹 Msaada Ajira ambazo wamesema watatoa J Maswali ya oral interview agricultural engineer II
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,468 May 10, 2025 #2 Sehemu ya search hapo andika au ingia google search maswali ya usaili wa Accountant @Zaymsuya Upvote 0 Downvote