Nimemaliza chuo nipo mtaani,nataka akutafuta kazi lakin Nina GPA ya 3.4 wameniandikia ni lower second class .je hapo Kuna uwezekano wa mm kuomba kazi na nikapata.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Similar content
Most view
View more