Jinsi ya kubadili tahasusi (combination) kidato cha tano 2026

Jinsi ya kubadili tahasusi (combination) kidato cha tano 2026 Selform Tamisemi

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Hii ni taarifa ya Wanafunzi wote wa kidato cha Tano 2025 sasa unaweza kubadili Tahasusi (Combination) uliyochaguliwa iwapo utakuwa unataka kusoma kitu kingine tofauti na chaguo la awali.

Bofya kuingia katika eneo hilo ili kuendelea kubadilisha taarifa zako za machaguo ya shule za form V na tahsusi zake: KUMBUKA– Mwanafunzi ataona Possible combinations tu na shule kutokana na ufaulu wa matokeo yake kwa lengo la kubadilisha.

Jinsi ama namna ya kupata maelekezo ya kubadilisha combination tafadhari bofya hapa chini.

selform tamisemi go tz 2026 registration online

Kubadili kombi kidato cha tano
Jinsi ya kubadili tahasusi (combination) kidato cha tano 2026
 
Back
Top Bottom