Hatua kwa hatua Jinsi ya kuhakiki Cheti cha Kuzaliwa na Kifo RITA Uhakiki unafanyika kupitia mfumo wa eRITA pekee. Waliokuwa na VYETI VYA ZAMANI vilivyochapwa kwa typewriter watalazimika kwanza kupata vyeti vya kidijitali kwa kufuata hatua namba 1–6 hapo chini na baada ya hapo wachague OLD to NEW. Baada ya kukamilisha hatua hiyo na kupata cheti kipya, ataendelea na uhakiki.
2. Bonyeza kitufe kilichoandikwa eRITA
3. Chagua Huduma ya VYETI vya Vifo
4. Bonyeza REGISTER katika kipengele cha REGISTRATION na jaza taarifa zote kwa usahihi kufungua akaunti ya maombi
(Muhimu: Nenosiri (Password) liwe na herufi zaidi ya nane ikiwa na mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo mojawapo (mfano @#$*!)**
5. Ingia katika akaunti ya barua pepe "email" fungua ujumbe uliotumwa kutoka RITA kisha bonyeza neno “Account activation”
6. Ingia tena katika mfumo wa eRITA na bonyeza kitufe cha SIGN IN na jaza taarifa ili kuingia kwenye mfumo
7. Chagua BIRTH SERVICES kwa huduma ya Kizazi / (DEATH SERVICES kwa huduma ya kifo) Kisha bonyeza alama ya jumlisha upande wa chini kulia
8. Chagua REQUEST VERIFICATION na jaza taarifa zote kwa usahihi ikiwa pamoja na namba ya cheti cha kuzaliwa au kifo (namba hii ipo katika safu (column) namba moja (1) ya cheti)
9. Thibitisha taarifa ulizojaza kisha chagua kitufe cha kuendelea mbele
10. Fanya malipo sahihi kulingana na ankara iliyopatikana kwenye mfumo
11. KUPATA MAJIBU YA UHAKIKI: Ingia katika akaunti uliyofungua na mfumo wa eRITA, chagua huduma ya BIRTH/DEATH → Submitted → Details. Mfumo uki onesha neno verified itamaanisha cheti chako ni halali. Pakua (Download) fomu ya uthibitisho utakayotumia kupata huduma unayohitaji.
Soma zaidi.
Waombaji wote wanatakiwa kufuata muongozo ufuatao:
1. Ingia kwenye tovuti ya Wakala RITA.2. Bonyeza kitufe kilichoandikwa eRITA