Maelekezo ya jinsi ya kununua tiketi kupitia mitandao ya simu kwa kutumia N-Card kwa wateja wa mitandao mbalimbali, ikiwa ni kwa ajili ya mechi za Simba SC. Maelekezo hayo yanahusu Vodacom M-Pesa, Tigo Pesa, TTCL Pesa, na Airtel Money. Yafuatayo ni maelezo kamili:
Vodacom M-Pesa
- Piga 150*00#
- Chagua 4 > Lipa kwa M-Pesa
- Chagua 10 > Zaidi
- Chagua 1 > e-Payment
- Chagua 1 > Tiketi za Michezo
- Chagua 1 > Tiketi za Mpira
- Chagua mechi unayotaka kulipia
- Chagua kiingilio
- Weka namba ya kadi yako ya (N-Card)
- Ingiza namba ya siri
- Thibitisha
Mix by Yas (Tigo Pesa)
- Piga 150*01#
- Chagua 4 > Lipa Bill
- Chagua 6 > Malipo Mtandaoni
- Chagua 1 > Matukio Yaliyopo
- Chagua 1 > Tiketi za Mpira
- Chagua mechi unayotaka kulipia
- Chagua aina ya tiketi unayotaka kulipia
- Weka namba ya kadi yako ya (N-Card)
- Ingiza namba ya siri
- Thibitisha
TTCL Pesa
- Piga 150*71#
- Chagua 4 > Lipa Bill
- Chagua 9 > Malipo Mtandaoni
- Chagua 2 > Nunua Tiketi
- Chagua Matukio Yaliyopo
- Chagua 1 > Tiketi za Mpira
- Chagua mechi unayotaka kulipia
- Chagua aina ya tiketi unayotaka kulipia
- Weka namba ya kadi yako ya (N-Card)
- Ingiza namba ya siri
- Thibitisha
Airtel Money
- Piga 150*60#
- Chagua 5 > Lipa Bill
- Chagua # > Next
- Chagua 8 > Malipo Mtandao
- Chagua 1 > Tiketi za Michezo
- Chagua 1 > Football Tickets
- Chagua mechi unayotaka kulipia/select events
- Chagua aina ya tiketi unayotaka kulipia
- Weka namba ya kadi yako ya (N-Card)
- Ingiza namba ya siri
- Thibitisha