Hatua kwa hatua Jinsi ya Kuomba AVN NACTVET | Namba ya Utambulisho wa Tuzo (AVN) 2025/2025 kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi.
Ujumbe muhimu: Unaweza kuomba AVN mara tu baada ya matokeo yako ya diploma kufanyiwa uhakiki. Usisubiri mpaka kipindi cha udahili.
NACTVET inasisitiza juu ya ujuzi, ubora, na umahiri.
Ikiwa una maswali zaidi kuhusu mchakato huu, unaweza kuwasiliana na NACTVET moja kwa moja.
Jinsi ya Kuomba AVN
- Tembelea tovuti ya NACTVET: Fungua kivinjari chako na uandike www.nactvet.go.tz
- Tafuta sehemu ya kuomba AVN: Bofya sehemu iliyoandikwa "Request Award Verification Number" kwenye viungo muhimu (key links).
- Jaza taarifa zako: Utatakiwa kujaza fomu na taarifa zako za kibinafsi kama zilivyo kwenye matokeo yako ya diploma.
- Fanya malipo: Utapewa namba ya malipo ambayo utatumia kulipia huduma hiyo.
- Hifadhi namba yako ya tuzo: Baada ya malipo kukamilika, utatumiwa namba yako ya tuzo. Hifadhi namba hii kwani utatumia wakati wa kufanya udahili katika chuo unachotaka kujiunga.