Nawezaje kuedit profile yangu hasa kwenye personal information nmekosea kujaza place of birth nimejaza nilipo sasaivi badala ya kujaza mkoa nlipozaliwa, nlikosea kusoma maelezo, naomba msaada please, imebaki hapo tu ili nmelizie application