Jinsi ya kupata namba ya NIDA Kitambulisho cha Taifa (NIN)

Jinsi ya kupata namba ya NIDA Kitambulisho cha Taifa (NIN) NIDA Online

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,344
Jinsi ya kupata namba ya NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa huduma ya kupata Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIN), inaweza kufanyika kwa kutumia simu ya mkononi.

Kupata namba ya nida fanya hivi:
i. Piga *152*00#
ii. Chagua namba 3 (Ajira na Utambuzi)
iii. Chagua namba 2 (NIDA)
iv. Ingiza Majina yako matatu (3) uliyosajili (Mf. Daniel John Seleman)
v. Ingiza namba ya simu uliyotangaza kwenye fomu ya maombi (Mf. 0XXXXXXXX)
vi. Kubali.

Huduma hii kwa sasa inapatikana kwa watumiaji wa Airtel na Vodacom.

Kwa mawasiliano zaidi:
Piga simu: 0759 102010 / 0765 201020 / 0673 333444 / 0800758888
Barua pepe: [email protected]

Soma zadi hapa:
Jinsi ya kupata namba ya NIDA Kitambulisho cha Taifa (NIN)
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom