Jinsi ya kutuma maombi Mafunzo ya KOICA 2025

Jinsi ya kutuma maombi Mafunzo ya KOICA 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 79%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
703
Jinsi ya kutuma maombi Mafunzo ya KOICA Nafasi za Utumishi
TANGAZO LA KOZI ZA MAFUNZO CHINI YA KOREA INTERNATIONAL COOPERATION AGENCY (KOICA) KWA MWAKA 2025-2026 NCHINI KOREA KUSINI (MASTERS DEGREE)
  • Taarifa za maombi na nyaraka nyingine muhimu zinapatikana kupitia kiungo:
    Bonyeza hapa kutuma maombi
    Menu
    - Stay connected - notice
  • Waombaji wanatakiwa kufungua faili la Programu ya Mafunzo wanayohitaji, kujaza fomu, kuchapisha, kuthibitisha, na kuwasilisha ofisini moja kwa moja au kupitia EMS kabla ya tarehe ya mwisho, 31 Desemba, 2024.
KOICA Scholarship Training Courses


NB: Ni waombaji waliopitishwa pekee watakaowasiliana nao.

Kwa maelezo zaidi au ufafanuzi, tafadhali wasiliana na Idara ya Maendeleo ya Rasilimali Watu wakati wa saa za kazi kupitia namba:
  • 0758 375164 (Theresia Ngasa)
  • 0717 509809 (Rehema Nungu).
Barua zote ziandikwe kwa anuani ifuatayo:
Jinsi ya kutuma maombi Mafunzo ya KOICA 2025
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mji wa Serikali Mtumba,
Mtaa wa Utumishi,
S.L.P. 670,
DODOMA.
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom