Ongeza salio la N-Card yako moja kwa moja kupitia Azampesa na ulipe nauli za kivuko bila kupoteza muda.
Hivi ndivyo unavyoweza kuongeza salio la N-Card yako:
Kupitia App:
Hivi ndivyo unavyoweza kuongeza salio la N-Card yako:
Kupitia App:
- Fungua App
- Gusa "Lipa Bili"
- Chagua "NCARD"
- Ingiza namba ya kumbukumbu
- Weka kiasi unachotaka kulipa
- Hakikisha taarifa na thibitisha muamala
- Piga *150*08#
- Chagua kipengele cha 4: "Lipa Bili"
- Chagua kipengele cha 5: "Ongeza Salio"
- Weka kiasi
- Ingiza namba ya kumbukumbu ya N-Card
- Hakikisha taarifa na thibitisha muamala
Ufadhili Global Korea Scholarship 2025/2026
Wizara ya Elimu