Jinsi ya Kutumia AzamPesa Kuongeza Pesa/Salio NCARD

Jinsi ya Kutumia AzamPesa Kuongeza Pesa/Salio NCARD Azam Pesa N-CARD

Ongeza salio la N-Card yako moja kwa moja kupitia Azampesa na ulipe nauli za kivuko bila kupoteza muda.
Jinsi ya Kutumia AzamPesa Kuongeza Pesa/Salio NCARD

Hivi ndivyo unavyoweza kuongeza salio la N-Card yako:

Kupitia App:
  1. Fungua App
  2. Gusa "Lipa Bili"
  3. Chagua "NCARD"
  4. Ingiza namba ya kumbukumbu
  5. Weka kiasi unachotaka kulipa
  6. Hakikisha taarifa na thibitisha muamala
Kupitia USSD:
  1. Piga *150*08#
  2. Chagua kipengele cha 4: "Lipa Bili"
  3. Chagua kipengele cha 5: "Ongeza Salio"
  4. Weka kiasi
  5. Ingiza namba ya kumbukumbu ya N-Card
  6. Hakikisha taarifa na thibitisha muamala
Jisajili kupitia App ya Azampesa.
 
Back
Top Bottom