Kibali cha Ajira Mpya 33,212 Walimu, Afya na kada Mbalimbali Utumishi. Jitihada za serikali katika kipindi hiki cha Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ajira mpya zilizokuwa zimejazwa ni takriban ajira 149,000, lakini ajira mbadala ambazo Rais Samia Suluhu Hassan alitoa kibali ni 39,963. Hivi juzi, Mheshimiwa Rais ametoa kibali cha ajira nyingine ambazo zinatakiwa zijazwe kabla ya kuisha kwa mwaka huu wa fedha, ajira 33,212. - Deus Sangu, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Nafasi 20 za Ajira Afisa Mauzo
7-5-2025