Kibali cha Ajira Mpya 33,212 Walimu, Afya na kada Mbalimbali Utumishi

Kibali cha Ajira Mpya 33,212 Walimu, Afya na kada Mbalimbali Utumishi 7-5-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Kibali cha Ajira Mpya 33,212 Walimu, Afya na kada Mbalimbali Utumishi. Jitihada za serikali katika kipindi hiki cha Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ajira mpya zilizokuwa zimejazwa ni takriban ajira 149,000, lakini ajira mbadala ambazo Rais Samia Suluhu Hassan alitoa kibali ni 39,963. Hivi juzi, Mheshimiwa Rais ametoa kibali cha ajira nyingine ambazo zinatakiwa zijazwe kabla ya kuisha kwa mwaka huu wa fedha, ajira 33,212. - Deus Sangu, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Kibali cha Ajira Mpya 33,212 Walimu, Afya na kada Mbalimbali Utumishi
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom