Kikosi Cha Yanga vs Tp Mazembe Leo 04 January 2025 CAFCL

Kikosi Cha Yanga vs Tp Mazembe Leo 04 January 2025 CAFCL

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
155
KIKOSI Cha Young African's vs Tp Mazembe Leo 04 January 2025

Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Ya Mabingwa Africa CAFCL dhidi ya Tp Mazembe.
FB_IMG_1735973141579.webp

Mchezo huo utapigwa January 04, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin mkapa Tanzania Mkoani Dar es salaam saa kumi kamili Alasiri.

Kuelekea mchezo huo, Wananchiforum itakuletea Kikosi Cha Young African's kinachoanza dhidi ya Tp Mazembe.
 
Back
Top Bottom