Kocha Mkuu Wa Simba Sports Club Ageuka Mwiba Kwa Wapinzani

Kocha Mkuu Wa Simba Sports Club Ageuka Mwiba Kwa Wapinzani

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
160
Fadlu amegeuka mwiba mkali kwa wapinzani.

Simba ya Fadlu imeruhusu goli chache (5) kwenye mechi 15 za NBC.

Simba imeruhusu goli chache (3) kwenye kundi (A) CAF.

Simba ni vinara wa kundi (A) CAF.

Simba ni vinara NBC.

Fadlu na Simba yake wanaongoza kila kona…..Fadlu amegeuka shubiri kwa wapinzani
IMG-20250105-WA0016.webp
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom